Home
»
NEWS
» PICTURES TATU ZA MTOTO WA DONISYA TOMAS WA BOMBA FM ZANZIBAR
PICTURES TATU ZA MTOTO WA DONISYA TOMAS WA BOMBA FM ZANZIBAR
By
Unknown
•
2:07 AM
•
NEWS
•
YES!!!!
HE IS COLLIN ( ABDUL-RAHEEM) MY BABY BOY!!!! namshukuru Mungu kwa
kunipatia mtoto huyu wa kiume huyu ndie tumaini langu, faraja yangu na
mwanga wa maisha yangu amekuja kunipa faraja na kunifuta machozi baada
ya kilio cha muda mrefu Mungu anilindie mwanangu aje anifae mimi na
taifa langu nampenda saaaaaaana mwanangu nampenda pia baba wa mtoto
huyu!!!
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment