hammerq Fire
?? Katika maisha hakuna kitu kibaya km kukata tamaa, na ukumbuka xana
maneno yangu kwamba Askari hatakiwi kurudi nyuma wakati wa vita
anatakiwa asonge mbele kupambana na maadui sababu bila ya kupambana hawezi
patikana mtu anaeitwa SHUJAA huwezi itwa shujaa kama hujapambana ,FIRE
unatakiwa kurudi twn kuja kukamilisha melengo yako, mziki sio lelemama
mwanangu unahitajika ukaze roho na misuli yote mwilini tuliza akili yako
fire mziki unaujuwa na unauweza ila jifunze xana kupigana na moyo
wakukata tamaa kumbuka mafanikio hayaji kwa siku moja
Jobfire Mkali nimekuelewa
baba yangu ila usijali kuna mazingira nayatengeneza ili nipate kujiweka
ktk nafasi fulan baba yangu najua unataman sana kuona mwanao nikifika
mbali kimuziki ila ucjal baba yangu
Home » NEWS » BAADA YA JOBFIRE KURUDI KWAO MOSHI NA KUSEMA MZIKI MGUMU TOWN SOMA ALICHO AMBIWA NA HAMMER Q
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment