Home
»
Story
» MAZOEZI MATATU YA KUZUIA MATITI YA MWANAMKE YASILALE NA KUWA MALAPA
MAZOEZI MATATU YA KUZUIA MATITI YA MWANAMKE YASILALE NA KUWA MALAPA
By
Unknown
•
3:13 AM
•
Story
•
Ikiwa wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota)
basi msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije
kujisikia vibaya pale wanaume watakapokuwa wakiponda matiti kwa kuyaita
“malapa”….
Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia
tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti
yako pumzike, kwamba hakutakuwa na kuning’inia kama utakuwa umelala
chali(lalia mgongo) au kiubavu.
Zoezi…1
Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali
hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti
yaume sana lakini wewe kama dada mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo
mara 20 kila asubuhi.
Zoezi….2
Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha
ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri
uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya
matiti (misuli yafanya kazi hapo)….fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu
njinsi unavyokua.
Zoezi…3
Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na hule inanyue
taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha
mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule).
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment