maelezo ya kujiunga baraza la sanaa |
mkakati wa serikali kuhusu sheria mpya ya usajiri na Haki miliki nikiwa kama mdau ambae naguswa na swala ili ilichukua hatu ya kuwaita baadhi wa wasanii na kujaribu kuongea nao kupitia kipindi cha One step in hio hop (darasa) kinacho rushwa ndani ya 90.9 chuchu fm radio zanzibar kwa walio pata nafasi ya kusikiliza nadhani wamelewa nini tulikiongea ila wake ambao hamkupata nafasi ya kusikiliza Live kuna nakala ndefu inakuja ili tujue nini tatizo la wasnii kushindwa kwenda kujisajili. kwenye baraza husika wasanii wamekua wakitupia lawama mamlaka husika na mamlaka wanasema hawana tatizo na wasaniiii......
By Issa Chiwile Jr
Post a Comment