Home
»
Story
» MADHARA YA MWANAMKE KUCHUA
MADHARA YA MWANAMKE KUCHUA
By
Unknown
•
12:25 AM
•
Story
•
Kujichua
au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata
wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au
kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia……
Wakati mwingine
mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio
usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka
upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini
sasa mpenzi hayupo karibu.
Leo tutaongelea Hasara na faida za kujichua au kujichezea kwa mwanamke.
HASARA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUJICHUA
Kujichua kwa mwanamke kiasili hakuna madhara yeyote, lakini kama
unatumia au unajingizia vitu au vifaa Ukeni (Sanamu) zinaweza
kukusababishia maaambukizo, "kutifua" misuli ya uke na kusababisha uke
wako kulegea, nyama kujitokeza kwa nje.
Ukizoea kutumia Sanamu
kujichua utashindwa kusikia utamu kila utakapofanya ngono na mwanaume
kwa vile sanamu ni ngumu japokuwa watu watakudanganya kuwa ziko na
texture kama uume asilia lakini sio kweli, Mungu aliumba uume kwa ajili
ya kuingia ukeni na sio sanamu.
Mazoea hayo yatakufanya kihisia
udhani kuwa mwanaume hana uwezo wa kukuridhisha kingono na hivyo
kumuomba akufanye kwa kutumia sanamu badala ya uume wake kitu ambacho
nitakiita "madhara ya kujichua kwa kutumia sanamu".
FAIDA ZA KUJICHUA:
1)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
2)Kujua "vipele vyako viliko".
3)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
4)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment