Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ndevu ama ki alama cheusi chini ya pua maarufu kama Kidoti huwa wanawavutia sana Wanaume
Smart kutokana na imani kwamba wanawake hao huwa wanabahati katika
maisha kwa asilimia kubwa huwa wana maisha mazuri na pia mwonekaono wao
huwavutia wanaume walio wengi sana na mimi nikiwa mmoja wapo:wewe
wavutiwa?
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment