Daz baba kawa chizi moro...afande sele hathibitisha



“Hivi juzi juzi Daz alikuja kwangu usiku,akapiga kelele sana ile kuamka nikamkuta Daz akiwa mchafu na akiongea maneno ambayo
hayaelewiki.baadaye alitaka kumfanyia tendo baya mfanyakazi wangu wangu wa kike lakini hakufanikiwa.
Pia nimekuwa nikisikia kuwa mara nyingi alikuwa akionekana pale stand akizurura zurua na kufanya mambo kama kichaa kabisa.
Hali ya Daz ni mbaya sana nimejaribu kumuweka sawa lakini nimeshindwa labda
wakamfanyie matambiko ya kwao kwa sababu baba na
mama yake walifariki na walikuwa hawaelewani labda
kuna matatizo ya kifamilia.”

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates