Info Na Picha Kuhusu Collabo Nyingine Kubwa Kutoka Kwa Lady Jay Dee,

Ile Collabo kubwa aliyoshawahi kuizungumzia Lady Jay Dee kuwa ataifanya na Role Model Wake Khadija Kopa, Ndio imeanza kufanyiwa kazi sasa. Hii picha Ya Kwanza Wakiwa Pamoja Nyumbani Kwa Kopa Bagamoyo.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates