Mwanamuziki wa taarabu wa kundi la Zanzibar Njema Ahmed Mgeni amefariki usiku wa kuamkia leo Hospital mnazi mmoja huko Zanzibar.
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kifua muda mrefu.Msiba uko
Amani fresh Zanzibar ambapo ni kwa baba yake na atazikwa leo saa kumi
jioni.
Marehemu aliwahi kutamba na nyimbo nyingi ikiwemo sitetereki inayofanya
vizuri mpaka sasa.Mamu Africa blog inatoa pole kwa familia na mashabiki
wote wa Ahmed Mgeni..mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,
Inallilah waina illah rajiuni.
Home »Unlabelled » Mwanamuziki Ahmed Mgeni afariki dunia
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment