Madee Ametumia Kiasi Gani Cha Fedha Kujenga Nyumba Yake Na Atahamia Lini, Yote Hapa

Upate - Msanii wa kundi la Tiptop, Madee amesema kuwa nyumba yake ambayo amejenga mbezi kimara imemgharimu karibia milioni 125 na mpaka sasa nyumba hio haijakamilika kama vile anavyotaka yeye.

Madee anasema kuwa ameanza kujenga nyumba hiyo mbezi kimara miaka minne iliyopita na Mungu akipenda amepanga kuhamia siku ya Birthday Yake mwakani tarehe 23 April 2014.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates