Home
»Unlabelled
» Taarifa kamili ya kurusha bomu bomu ZNZ
Taarifa kamili ya kurusha bomu bomu ZNZ
                            By 
                            Unknown
•
10:27 PM
•
•
 Usku wa manne maira a saa 8:45 mtaa wa daraani usawa a SAHARA STORE 
watu wasiojulikana wakiwa ndani ya gari aina ya PICK UP ambayo namba 
zake haikuweza kufahamika ikiwa naangi ya Silver walirusha kitu kinacho 
fanana na "soseji" hapo kwenye duka la mfanya biasara aitwaye Humoud kwa
 umaarufu wa SAHARA STORE na kuangukia katika kreti zenye chupa zasoda 
zilizopangwa.
 Mmoja wa alizi aliyekuwepo mahali hapo(Amour Kassim 
Amour) miaka 36 alichukua kitu hicho ambacho kilianza kutam oshi na 
kukirusha barabarani na kuleta kishino kikubwa a moshi mwingi lakini pia
 kilisabisha barabara kuchimbika katka ile sehemu kilipoangukia kituhico
 kinafanana na SOSEJI,kwenye eneo hilo kilipoanguukia hapaua na n kitu 
cochote zaidi ya unga mweupe na kokoto zilizchimbika.
 Hakina mtu aliyejeruhiwa wa maliilivyothirika.
 Jesi la polisi kupita kamanda wa mkoa wa mjini magharibi Mkadam Khami 
Mkadam amewamba wananchi kuwa tulivu na pia kutoa usirikiano kwa jesi 
hilo.
                              SIMILAR ARTICLES
                          
 
 
 
Post a Comment