Home
»
Love story
» WANAUMEEE!!! ZIJUE SABABU 5 ZINAZOSABABISHA UUME KUWA MDOGO (KIBAMIA)... SOMA HAPA USIJE
WANAUMEEE!!! ZIJUE SABABU 5 ZINAZOSABABISHA UUME KUWA MDOGO (KIBAMIA)... SOMA HAPA USIJE
By
Unknown
•
12:46 AM
•
Love story
•
Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa
kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida.Wanaume walio na
tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika
mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao
kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale
uhusiano wao unapofika mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa katika
uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo
anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu
kuwa na uume mdogo ." Mwanaume utakuwa wewe!" na lugha za namna
hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo....
Matokeo yake sasa
wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa
kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua
kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili
yao ama kujihusisha na upigaji punyeto n.k.
NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.
1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..
Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi :
Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbile hayo kutoka kwa wazazi wao.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment