Wasanii wakubwa kutoka
 East Africa na Africa, Diamond Platnumz, MwanaFA na Jose Chameleone 
waendelea ku-support wahanga wa shambulizi la wanajeshi wa Al-Shabaab 
kupitia kampeni ya WE ARE ONE #BadilishaProfile  kwa kubadili profile 
pictures zao katika mtandao wa kijamii wa twitter MwanaFA, Jose 
Chameleone, Huddah, Lameck Ditto na wengineo … Wakati huo huo, watu 
wameanza kuitwa kufuata magari yao katika PARKING walipokuwa wameyaacha 
kutokana na mashambulizi …
Tukio hilo la WESTGATE jijini Nairobi, linasemekana kupoteza zaidi ya raia 63 nchini humo … See the artists accounts …
Home »Unlabelled » WASANII WAUNGANA AFRICA MASHARIKI,DIAMOND MWANA FA NA JOSE CHAMELEONE SWALA LA KENYA
WASANII WAUNGANA AFRICA MASHARIKI,DIAMOND MWANA FA NA JOSE CHAMELEONE SWALA LA KENYA
By Unknown • 9:59 AM • • Comments : 0
Subscribe to:
Post Comments
                        (
                        Atom
                        )
                      



Post a Comment