Home » Linex » Picha 10 kutoka kwenye video mpya ya “Kimugina” ya Linex aliyoonekana na huyu mrembo Jackline Patrick
Picha 10 kutoka kwenye video mpya ya “Kimugina” ya Linex aliyoonekana na huyu mrembo Jackline Patrick
Linex mkali kutoka Kigoma kesho anatarajia kuionyesha kwa Watanzania video yake mpya “Kimugina” pale Ambassadors lounge ambapo hizi hapa ni picha kutoka kwenye baadhi ya scenes za video ya wimbo huo.
Ameongea na millardayo.com na kusema “Kesho kwenye uzinduzi wa video ya Kimugina kutakuwa na red carpet pamoja na show nzima kusimamiwa na Irene Uwoya na Kajala, Wema Sepetu na mastaa wengine wa bongomovie watafika siku hiyo pia watakaonisindikiza ni Barnaba boy, Chid Benz na wengine’
na millardayo.com
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment