Old time rapper kutoka Tanzania D Knob amefungua mtandao unaojulikana
kama www.mitaanimostwanted.co.tz utakao jihusisha na Usimamizi wa
biashara tofauti na mambo ya burudani. Mtandao huu utakuwa na kazi ya
kuanda projects za biashara na mambo ya huduma tofauti mitaani. Kwa sasa
mtandao huu unafanya kazi bega kwa bega na project ya Marco Chali
Foundation kupitia Epic Open Mic.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment