Kuweka
picha au video za mtu kwenye mitandao bila ruhusa ya yake ni kosa
unaloweza kutozwa faini au kwenda jela kwa miezi sita, Wizara ya Mambo
ya Ndani United Arab Emirates imeonya.
Hata
kuweka picha na video zinazonyesha matukio ya ajali pia nayo
litahesabika kama ni kosa, Wizara imesema, hii ni kwa mujibu wa gazeti
la Taifa la Lugha ya Kiarabu liitwalo Al Ittihad.
Home »Unlabelled » Kuweka Picha na Video Kwenye Facebook Kunaweza Kukufikisha Jela - United Arab Emirates
Kuweka Picha na Video Kwenye Facebook Kunaweza Kukufikisha Jela - United Arab Emirates
By Unknown • 12:04 AM • • Comments : 0
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment