MWILI WA ALIEZIKWA HAI WAANZA KUONEKANA |
MSAMARIA MWEMA ALIYEJITOLEA KUUTOA MWILI BAADA YA KUUKUTA |
MWILI WA MAREHEMU MWAIKASU AMBAYE ALIZIKWA AKIWA HAI UKIENDELEA KUIBULIWA KABURINI |
KATIKATI MJANE WA ALIYEZIKWA HAI |
MWILI UKIWA TAYARI KWA KUZIKWA UPYA |
NDUGU WAKIWA NA SIMANZI. |
MOJA YA WANAUSALAMA AKIWASHUKURU NDUGU KWA UVUMILIVU WALIYOUONYESHA KATIKA MSIBA HUU MZITO. |
ULITOKA KWA UDONGO UTARUDI KWA UDONGO NDIYO NDUGU WA MAREHEMU WALIVYOKUWA WAKISEMA. |
SHUGHULI YA KUZIKA UPYA IKIENDELEA. |
SHUGHULI
YA MAZISHI IMEKAMILIKA KWA AMANI NA UTULIVU LAKINI HAKUNA WANAKIJIJI
WALIYOJITOKEZA KATIKA MSIBA HUU HOFU KUKAMATWA NA DOLA. Picha na Ezekiel Kamanga Mbeya yetu |
Post a Comment