Wanaume wamejaliwa Hisia za karibu sana,yaani kwao kupata Hamu ya kupeana Raha na Utamu ni Jambo rahisi sana tena kwa Haraka.Ingawa wanapata Hamu kwa urahisi,na hata kufika kileleni(orgasm) wanafika kwa urahisi,lakini unadhani wanaridhika kwa urahisi pia? Unadhani pale anapocum na kumwaga sperms ndio teyari umemfikisha? Jibu ni kwamba Mwanaume akicum akamwaga sperms,inamaanisha amefika kileleni(orgasm),na kitendo cha yeye kufika kileleni inamaanisha kwamba either HAMU yake imepungua au imemalizika(itategemea amecum kwenye round ya ngapi)
Lakini kumridhisha,kumfikisha,kumpagawisha na kumdatisha sio kitu rahisi especially kama hujui maeneo gani kwenye mwili wake yamejaa Hamu tena sana.
Kwanza Wanawake wengi wana utamaduni(tradition) wa 'kijinga' sana wakati wa kupeana Raha na Utamu(utanisamehe kama umefeel offended with the word 'kijinga')
Yaani wao shughuli yote wanamuachia Mwanaume,kazi yao ni kusikilizia na kuenjoy 'Utamu' tu,Hakuna kutoa support,Hakuna utundu au ujuzi wowote wanaoonyesha na Wengine hata kusema 'Pole' kila Baada ya Round kwao ni shida(as if wanaume ni marobot). Wanawake wachache sana ndio utakuta wanastruggle on Bed kuwaridhisha Wanaume zao.(kuinama na kutanua miguu is nt enough(haitoshi) jamani,hata mende anaweza)
Baada ya 'makavu live' kufikisha message,sasa hebu tuone Hayo maeneo katika mwili wa Mwanaume ambayo yamejaa Hamu ya Kupata Raha na Utamu,
1.HIS BRAIN (UBONGO WAKE)
JINSI YA KUMPA HAMU YA KUPEANA RAHA NA UTAMU KWENYE UBONGO WAKE
Make sure unaamka kabla yake,muandalie(prepare) maji yake ya kuoga wewe mwenyewe(ni vibaya sana kumuachia mfanyakazi wa ndani(housemaid) a.k.a bekitatu/mbochi afanye mambo ya ndani kama haya,ndio maana wanapata nafasi ya kutia Doa na kuvunja Ndoa au Mahusiano yenu)
Unaweza ukaandaa na Chai na vitafunwa vyake kabisa,kisha unamuamsha,itapendeza zaidi kama mkioga pamoja kama hapo mnapoishi panaruhusu au uwezekano wa kupata privacy upo.
Ukimaliza hapo rudi nae chumbani,msaidie kupaka mafuta au lotion kama anatumia,msaidie na kuvaa pia.(itapendeza na kuwa romantic zaidi kama ukiwa unayafanya haya huku ukimtomasa na kumshika shika ili tendo zima la kumvalisha au kumpaka mafuta na lotion,liwe limekaa Kimahaba zaidi lisiwe la kawaida)
Baada ya Hapo,mpe breakfast,Unaweza kunywa nae pamoja,au kama haunywi basi angalau mpe kampani,
Akimaliza ina maana muda wa kwenda kazini au kwenye biashara zake umefika. Tumia muda huu kumuaga Kimahaba zaidi ili akiwa kazini au kwenye Biashara zake,awe anakuwaza japo mara moja kila baada ya nusu saa.
Unaweza kumuaga kimahaba,kwa kumkumbatia,mwambie kiasi gani utammiss,na unaweza kumalizia kwa kumwambia kiasi gani unampenda.
Akiwa kazini au kwenye biashara zake,ukifika muda wa lunch,mtumie meseji kumkumbusha kuwa anatakiwa akale,ukifanya hivi ataenjoy kujua kuwa unamjali,unampenda na kumkumbuka muda wote.
Ikifika Mida ya Alasiri na kuendelea(saa 9 na kuendelea),mtumie meseji ukijaribu kuchat nae kama yupo free,kama yupo busy mwambie pole kwa kazi kisha mwambie kazi njema. Ila kama yupo Free basi Chat nae,mtumie meseji nzuri za kimahaba,kama vipi flirt nae au kama ni mtundu pia mnaweza mkahave sex chat.
Akirudi Nyumbani,mpokee chochote atakachokuwa amebeba,mkumbatie kisha mpe busu(kiss) lililojaa Upendo wa Dhati(hakikisha mwili wako na Nguo ni safi,usije ukamkumbatia huku unanuka kikwapa,dats a turn off)
Mwambie Pole na Kazi,Msaidie kuvua viatu na soksi,nenda nae mpaka chumbani huku umemshika kiuno,huko Chumbani msaidie kubadilisha Nguo etc (kama mazingira ya hapo unapoishi hayaruhusu kufanya yote haya,basi akirudi,mpokee kila atakachokuwa amebeba,nenda nae chumbani ukamalizie kumkumbatia na kumbusu na kumpa maneno matamu tena sana)
Muandalie maji ya kuoga tena,unaweza ukaoga nae tena au ukaacha aoge mwenyewe
Baada ya hapo,unaweza ukamuacha apumzike ili ukamuandalie dinner,kila kitu kikiwa teyari kula nae pamoja,kama mpo peke enu unaweza ukamlisha huku mkiongea kimahaba. Baada ya Hapo kinachofuatia nadhani kila mtu anakijua(XXXXXXX)
Kwa leo ntaishia Hapo,Part 2 itatoka Kesho
Post a Comment