PICTURES ZA MATUKIO YALIYOJILI JANA KWENYE MECHA ZA MPIRA WA MIGUU KATI YA COPY AUR SWAG NA PENTAGON UWANJA WA MAU ILIYOISHA KWA MATOKEO YA MOJA

 Jana ilikua fanali ya michuano y7a mpira wa miguu iliyokua chini ya usimamizi wa kituo cha radio cha bomba fm zanzibar ambapo washindi walipata mipira na jezi




mgeni rasmin Baerry black akiweka kombe la mshindi wa kwanza sawa

meza ya mgeni rasmin Berry black sultan king na wadua wengine wakifatilia mechi


Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates