Tazama Picha Mbalimbali Jinsi Msanii Berry White alivyolichoma Gari La Mpenzi Wake Baada ya Kugundua Demu Wake Kaenda Kunonihino na Jamaa Mwingine

Artist anayewakilisha Zenji ktk game ya bongo flava Berry white inasemekana amelichoma Moto garI la mpenzi wake na Gari Hilo likateketea kama unavyoona hapo, kwa mujibu wa cha chanzo chetu cha habari kinadai kuwa chanzo cha tukio Hilo ni baada ya Berry kushtukia dem wake ameenda kufanya mambo ya chumbanI na mwanaume mwingine, ndo huku Nyuma jamaa akaamua kupiga kiberiti Gari, bado tunaendelea kumtafuta berry white ili na yeye atoe ya moyoni.... Sema pyaaaaaa
Artist Berry White

Hii ndo ndinga iliyopigwa Moto na Msanii Berry White, nia aina ya Spacio na mwanzo lilikua lina rangi Nyekundu

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates