Home » Uprise Music » GARI LAINGIA NDANI KWA PRODUCER NA KUMGONGA HADI KUMSABABISHIA MAJERAHA
GARI LAINGIA NDANI KWA PRODUCER NA KUMGONGA HADI KUMSABABISHIA MAJERAHA
By Unknown • 10:43 PM • Uprise Music • Comments : 0
Producer Dupy
Producer wa UPRISE MUSIC DUPY amegongwa na gari baada ya gari kugonga studio na kuingia CHUMBANI kwa DUPY akiwa amelala! Pia amepata majeraha kidogo tunashukuru mungu ni mzima ila amepata maumivu ya mkono na kichwa kidogo ila all in all niko salama.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment