Rais Jakaya Kikwete aliwahi kuviambia Vyama vya Siasa kwenye mkutano wa
Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania kuwa, “...tusidanganyane, mjadala wa
Bunge la Katiba utakuwa kati ya Wanasiasa...tuna Wabunge wa Jamhuri,
Baraza la Wawakilishi...katika wale 201 kuna Wanaotoka kwenye Vyama vya
siasa, na hata wanaosalia kila mmoja ana Chama...mmekabidhiwa Katiba ya
Nchi na sio muundo wa Muungano tu...mnayo mengi ya kujadili kwenye
Rasimu hii...“
Nami Ray ninawaamini Wajumbe wa Bunge hili
mtatuwakilisha vyema na si kutupeleka kwenye mtanziko wa
kimaamuzi..TUNAITAKA KATIBA MPYA YA WATANZANIA NA SI YA WANASIASA!
Home » Bunge la katiba » BUNGE MAALUM LA KATIBA LIMEANZA LEO:
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment