hafla hiyo iliyofanyika
Stratford City hall, jijini London
ilihudhuriwa na bwana Josephat Toner kutokea
chama cha albino Tanzania,
hafla hiyo ilitayarishwa
na Jumuiya ya watanzania wanao ishi nchini humo Umoja
community Pamoja na mambo mengine walipata nafasi ya kuongelea matatizo wanayoyapata watu wenye ulemavu
wa ngozi.
Mbali uchangiaji kulikuwa na maonyesho ya mavazi kutoka kwa
mwanamitindo Mtanzania anayeishi Uingereza Rose Patel
Sambamba na burudani
toka msanii anae chipukia mtanzania anae
ishi nchini humo shantell
Post a Comment