Latest Updates

Showing posts with label JACK PATRICK. Show all posts
Showing posts with label JACK PATRICK. Show all posts

UNAAMBIWA HAYA NDIO MATESO ALIYOKUTANA NAYO JACK PATRICK KWA MASAA 48

12:48 AM

Stori:  Jelard Lucas
HABARI ya kufungia mwaka 2013 na kufungua pazia la mwaka mpya wa 2014 ni madai ya mwanamitindo kiwango Bongo, Jacqueline Patrick kukamatwa katika  Uwanja wa Ndege wa Macau nchini China akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya aina ya heroin lakini Risasi Mchanganyiko linaangaza mapya zaidi juu ya sakata hilo.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates