HII NDIO GARI ANAYOUZA DOGO HAMIDU

Kwenye Power Jams ya east africa radio leo Dogo Hamidu ametangaza kuuza gari yake ya Pili aina ya VITZ Ya mwaka 2002 ambayo ametumia kwa miezi mitano tu. Hamidu amesema hajafulia kama wengi watakavyo sema ila niuamuzi aliofanya   baada ya kupata gari nyingine .Ilikuwasiliana na muhusika 0658323230.








picture kwa hisani ya sammisago.blogspot

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates