LET'S PARTY! EVERY FRIDAY


Ni Mcharuko wa DADAZ ukirudi na Full Charge..!Chini ya MILAZO one TWO, ikianzia IJUMAA hii na kila IJUMAA..!Kutakuwa na SHINDANO la wa'DADAz toka kitaa..!Disco na GUEST dj Mickie Love, Dan Chibo & Dj Fax..!Kiingilio: Dadaz ni FREE & Kakaz ni bk 4 tu..!Na kuanzia Jumapili hii na kila Jumapili MILAZO One TWO Inatambulisha kwenu JUMAPILI ya WABISHI wa TOWN..!Je wewe ni MBISHI, KIBISHIBISHI ungana WENZA, huku ukipata ngoma kali sambamba na SHOW toka kwa WASANII..!Kiingilio: Wanaume watalipa bk3 na wakipata KUPONI ya BIA MOJA ndani, Wanawake wataingia buree..!Karibu..!


Inaletwa kwenu na MILAZO one two..!

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates