WASANII WAKIKE WAJITOLEA KUTENGENEZA WIMBO UNAOHUSU FISTULA

wasanii wa kike nchini, wamejitolea kutengeneza wimbo unaowahamasisha wakinamama kujitoa na kuona kama fistula ni ungonjwa ambao upo na una tibika, na kuwahamasisha wakina mama kutokuona aibu na kubaki nao nyumbani. wimbo huo umewashirikisha wasanii kama Mwasiti, Recho, Lina, Vanessa Mdee, Feza Kessy,Keisha, The Trio, Dayna, Maunda Zorro, Pipi, Queen Darlin, Vida, Zuhura, Meninnah, Vumilia,Baby J, Sundy Gaga.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates