I WISH YOU RAMADHANI KAREEM FROM CHIWILEINC

ENYI MLIOAMINI, MMELAZIMISHWA KUFUNGA KAMA WALIVYOLAZIMISHWA WALIOKUWA KABLA YENU ILI MPATE KUWA WACHA MUNGU"
QURAAN 2;183

 Ewe MOLA wetu hakika sisi tumezidhulumu nafsi zetu, dhulma kubwa basi tusamehe kwani wewe ndie. Msamehevu na mwenye huruma. Kwa baraka ya kuuona mwezi ndugu zangu waislam tusemeni AMEEN.

Pia nachukua nafasi hii kuwatakia safari njema ya siku takribani 30 waislamu wote duniani, pia naihasa nafsi yng na zenu kukumbuka ya kuwa huu ni mwezi wa kujipinda haswaa ktk yale yaliyo mema. Swala 5 ni muhimu na TARWEKH pia. Tumuombe ALLAH atupe nguvu na afya ya kutekeleza ibada zake ktk mwezi Huu mtukufu na miezi mingine pia AMEEN

 

By C.E.O Issa Chiwile Jr & Director Khmyc Joumah

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates