TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI RAIS JK ALIVYOWACHEZESHA WABUNGE

b2ap3_thumbnail_1005152_542827042420319_2089884341_n_20130708-091641_1.jpgRais Kikwete akiwa na muamuzi wa mchezo huo ambao wabunge wa Yanga waliibuka kidedea kwa mabao 4-3 zidi ya watani zao wabunge wa Simba jana uwanja wa taifa, Dar es salaam..

 


b2ap3_thumbnail_1110.jpgMRais Jakaya Kikwete akiwa na waziri wa michezo Penera Mkandara na viongozi wengine wakiwa uwanjani kwa ajili ya Mh. JK kuchezesha mpira kati ya wabunge wa Yanga na Simba jana katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


b2ap3_thumbnail_SIMBANAYANGA13.JPGWabunge wakiminyana kutaka ushindi...


b2ap3_thumbnail_yanga-kombe--4.jpgKampteni wa Yanga wabunge akipokea Kombe la ushindi...


b2ap3_thumbnail_yangakombe7.jpgShangwe kwa wabunge wa Yanga baada ya kupokea Kombe hilo...b2ap3_thumbnail_JK1.JPG
Rais Jakaya Kikwete akihutubia kabla ya mechi kuanza...
b2ap3_thumbnail_SIMBANAYANGA1.JPG
b2ap3_thumbnail_simba-na-yanga-4.JPG
b2ap3_thumbnail_simba-na-yanga-7.JPG
Mazoezi kabla ya mechi,....
b2ap3_thumbnail_SIMBANAYANGA20.JPG
b2ap3_thumbnail_1043921_542821535754203_1269177749_n_20130708-093559_1.jpg
b2ap3_thumbnail_SIMBANAYANGA18.JPG
b2ap3_thumbnail_SIMBANAYANGA2_20130708-092745_1.JPG
b2ap3_thumbnail_wdqlsd_20130708-092836_1.JPG

b2ap3_thumbnail_1044688_542823862420637_575925951_n.jpg
Rais akikagua timu zote mbili kabla ya mchezo....
b2ap3_thumbnail_jk_20130708-092600_1.JPG
Filimbi ilipulizwa na Rais ili  mchezo kuanza.....
b2ap3_thumbnail_SIMBANAYANGA16_20130708-092923_1.JPG

b2ap3_thumbnail_yanga-kombe--5.jpg
Mkurugenzi wa Globar Publishers, Eric Shigongo akiwa ameshikilia Kombe ambalo lilikabidhiwa kwa washindi ambao ni wabunge wa Yanga.
b2ap3_thumbnail_yangakombe2.jpg

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates