Angalia hapa Imegundulika magaidi walioiteka Westgate walitorokea shimo la handaki lililopo ndani ya jengo hilo

ukio la kuvamiwa kwa nchi ya kenya na magaidi waliyoteka jengo la kibiashara ndio liligonga vichwa vya habari kwa wiki hiii lakini taarifa inadaiwa kuwa hakuna gaidi hata mmoja alieuwawa inadaiwa kuwa magaidi hao walitoroka kupitia shimo la handaki hivyo serikali ya kenya haikufanikiwa kuuua gaidi hata mmoja wote walitoroka kupitia shimo hilo na licha ya serikali kutangaza kwamba ilmeua magaidi hao Angalia picha za shimo hilo
div class="separator" style="clear: both; text-align: center;">

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates