'Diamond Kaniibia Wimbo Wangu Nilikuwa Nimshirikishe' #MyNumberOne - Dyna Nyange

Baada ya kupata story kuhusiana na mchongo huu, tukaamua kumvutia waya producer Sheddy Clever ambaye amesema Ni project ya zamani ya Dayne na alikuwa ameipotezea kwa muda so nikaona sio kesi nikimpa beat Diamond. Nilimwambia Dayne Kuwa Beat Nampa Diamond ikaeleweka hivyo, Nashanga sasa ananiruka na kubisha .
Dyna leo hii amenitumia ngoma hii anayolalamika kuwa amefanyika 'chimpupute' na Diamond Platinums.. so in sam few minutes, nitaiweka uweze kuisikiliza na kutoa maoni yako.


isikilize hapa

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates