HUYU NDIO MPENZI WA FEDRIGO?

 star wa choras ya chinja chinja fredrigo amezua maswali kwa baadhi ya fans wake kuhusu mausiano yake na msichana wa kizungu ambae amekua akionekana nae mara kwa mara mitaa tofauti kisiwani zanzibar
wakiongeo na chiwileinc baadhi yao walifika mbali zaid kwa kusema kua toka arudi toka dodoma ambako anafanya kazi zake za music amekua buzy sana hata kuonekana ni shida na hata cku ukimuona basi mzungu atakua pembeni

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates