Hii Post Ya Director Adam Juma Yazua Mapya Kuhusu Yeye Na Nisher. Fuatilia Hapa Majibu Makali Ya Adam

Kwenye instagram account inayoaminika kuwa ni ya Adam Juma, director bora wa video na kazi za wasanii Tanzania kumekuwa na post yenye muonekano wa saini ya director Nisher ikiwa na maneno haya. "I m Not Next Level, I M A New Game' huku tukijua kuwa brand name ya Adam Juma inayompa heshima kila siku kwa kazi bora ni Next Level. Fuatilia Hapa



Fahamu hii post haijaonekana kwenye account ya Nisher kwa sasa ila watu wanaofatilia account yake ta facebook, instagram na whatsup wanasema ilikuwepo kote na ameitoe hivi karibuni.

Tunafahamu kuwa Nisher ameonekana kama Replacement ya Adam Juma au kimbilio la wasanii wanapotaka video bora kwa sasa hapa Tanzania baada ya Adam kusitisha kazi hii. Ila pia wasanii wamekuwa wakienda sana Kenya kufanya kazi na Ogopa kitu kinachopelekea mashabiki kuona bado nafasi ya Adam haijazibwa.

Baada ya hii post shabiki wa Nisher alitia neno hapo kuhusu ubora wa Nisher.


Majibu Ya Adam Juma Yalikuwa Hivi.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates