Kendrick Lamar Ndio Rapper Bora Wa Mwaka Huu Kwa Mujibu Wa Jarida La GQ

Kendrick Lamar ametajwa kuwa Rapper Bora Wa Mwaka Huu Kwa Mujibu Wa Jarida La GQ kwenye tolea la Mwanaume Bora wa Mwaka Huu. Je Unakubali Hilo ?


Well kwenye mahojiano na mkali huyo wa rap yaliyotokea wakati mashairi yake kwenye wimbo wa Control yanazungumziwa zaidi Kendrick alisema "Sina tatizo na Drake ila Ataka kama ningekuwa nalo sidhani kama maisha yangu yange athirika"

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates