{1} MY NAME IS JEFF


STORY  BY JEFF A.K.A RAFIKI WA KWELI

AIMANI SALIM KHASIM ni msichana mwenye miaka 24 akiwa anatoka masomoni akiwa ana degree ya sheria kwa ufupi AIMANI ankua mwana sheria wakujitegemea ,AIMANI anaomba kibali cha kutembelea wafungwa katika gereza kubwa hapa nchini bila kipingamizi AIMANI anafanikiwa kuupata kibali na kuanza
kuhojiana na wafungwa wa kifungo cha muda mrefu AIMANI anafunguriwa chumba no.1 ambacho
kunamfungwa mmoja tu ambae akiwa amelala AIMANI anaingia kwenye chumba hicho askari anamwamsha mfungwa huyo ambae alikua amelala mfungwa huyo ana shtuka na kuamka kisha askari huyo anaondoka na kumuacha AIMANI akiwa na mfungwa huyo kwa maojiano mfungwa huyo anaonekana akiwa na masharefa pamoja na ndevu nyingi AIMANI anajitambulisha kwa mfungwa huyo akisema naitwa AIMANI SALIM KHASIM  sijui mwenzangu nani unaitwa mfungwa huyo anajibu akisema MY NAME IS JEFF kwakirefu naitwa JAFARI OTHMAN FALII lakini nimezoeleka kwajina la JEFF.AIMANI anaendelea kumuoji mfungwa huyo akisema samaani sana JEFF mimi ni mwana sheria wa kujitegemea ningependa kujua kilicho kufanya mpaka hukawepo kwenye gereza ili please. Naomba nieleze kwa kirefu ni mkasagani ulio kukuta JEFF anatabasam kasha ana kohoa baadae anacheka kidogo JEFF anaanza kujielezea akisema kama nilivyo kuambia hapo mwanzo naitwa JEFF nina umri wa miaka 30 nilizaliwa hapa hapa nchini.............................

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates