{2} MY NAME IS JEFF

Nilipo timiza umri wa miaka 7 nilichukuliwa na Baba yangu aitwae Mr. Othman Falii alini chukua na kwenda kuishi kongo, Nili soma huko mpaka nilipo hitimu kidato cha 6 nikiwa na miaka 20 ukweli ni kwamba nili msahau MAMA yangu na hata nikimuona simjui tena pia sijui kama yupo hai au amekufa. Wakati namalizia kidato cha 6 kwa bahati mbaya BABA yangu alifariki Dunia ukweli kifo cha BABA yangu kili nichanganya
sana nili hisi nimepoteza kabisa muelekeo ukweli kwa BABA nili yumba kimaisha baada ya misukosuko ya hapa na pale huko nchini kongo niliamua nije hapa nchini TANZANIA kumtafuta mama yangu . Nili fanikiwa kuingia nchini hapa nikifikia mji huu wa Dar es salaam ukweri ni kwamba sikuwa na ndugu wala jamaa nilijikuta naingia katika kundi la watoto wa mitaani hapo maisha yalizidi kua magumu sana kwangu. Nikawa ombaomba lakini swala hili la kuombaomba. Alikuni pendezea moyoni mwangu nikasema nita fanya nini huki angalia ali ya maisha ni ngumu sana niliona misukosuko mingisana ya ugumu wa maisha nimeona watu waki zulumiana nakuibiana kilicho nisikitisha zaidi kuona wanawake wakijiuza miili yao haki hakuna mwenye pesa  ndio mwwe haki sheria hazifatwi na hualifu ni mwingi hapo nikagundua ugumu wa maisha ndio chanzo na wengi wao wamemsaahu mungu aliye umba mbingu na ardhi pamoja navilivyopo ndani na dunia hii nikahisi  nafsi yangu inatamani niwe mwema kwa watu wote hiwe maskini ama tajiri, hiwe mwana mke ama mwanaume sio mototo, sio mzee, wala sio kijana.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates