Dk Shein afungua Skuli ya Sekondari ya Chasasa , Wete Pemba

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Chasasa Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Bi Hadia Masoud Sultan, alipotembelea chumba cha maabara somo la Kemistry,baada ya kuifungua Skuli hiyo leo, iliyo
Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Bi Hadia Masoud Sultan, alipotembelea chumba cha maktaba,baada ya kuifungua Skuli hiyo leo, iliyo
Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Bi Hadia Masoud Sultan, alipotembelea chumba cha Kompyuta skulini  hapo,baada ya kuifungua rasmi  leo, katika Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatua kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa somo la Kemistry Khamis Omar Mohamed,Baada ya kuifungua Skuli  ya Sekondari ya Utaani A,alipotembelea chumba cha maabara ya Kemistry leo,   Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(wa tatu kulia) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein

  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akiwasalimiana wanafunzi na walimu wa Skuli za Sekondari za Chasasa na Utaani A,baada ya kufunguliwa leo, na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali  katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa Walimu,Wananchi,na Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Chasasa na Utaani A, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 
Picha na Ramadhan Othman, Pemba

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates