Kwenye Tuzo Za Grammy Za Mwaka 2014, HipHop Imechukua Nafasi Kubwa Hapa


Hiphop ni muziki unaopewa heshima sana kwenye kila tuzo duniani na ndio unakuwa na ushindani sana sababu ya ugumu wa kipimo cha
kazi bora ya hiphop. Kwenye tuzo za  grammy za mwaka 2014 hiphop imepewa nafasi kubwa kwenye vipengele hivi na wasanii hawa wametajwa.


Album Of The Year:
Kendrick Lamar – Good Kid, M.A.A.D City
Macklemore & Ryan Lewis – The Heist
Daft Punk – Random Access Memories
Sara Bareilles – The Blessed Unrest
Taylor Swift – Red
Best Rap Album:
Drake – Nothing Was The Same
Jay Z – Magna Carta Holy Grail
Kendrick Lamar – Good Kid, M.A.A.D City
Macklemore & Ryan Lewis – The Heist
Kanye West – Yeezus
Best Rap Song:
A$AP Rocky – F**kin Problems
Jay Z & Justin Timberlake – Holy Grail
Kanye West – New Slaves
Drake – Started From The Bottom
Macklemore & Ryan Lewis – Thirftshop
Best New Artist:
Kendrick Lamar
Macklemore & Ryan Lewis
James Blake
Kacey Musgraves
Ed Sheeran
 J Cole hajaonekana kwenye orodha hio na album yake ya Born Sinner iliyofanya vizuri mwaka huu na kuelekea mwaka 2014.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates