{4} MY NAME IS JEFF

Kama kawaida yangu nikautuma ujumbe huo kwa mara nyingine kwenda namba za simu mbalimbali mara nikawa napigiwa simu na zile namba ambazo nilizozitumia ujumbe hule wengi walitaka kujua mimi ninani, wakiniuliza jina langu namimi nawajibu nikisema “MY NAME IS JEFF”.
Wengi wao wali vutiwa na ujumbe wangu nilio watumia  kwenye simu na baadhi ya watu walinipigia simu na kunioji kwamba nimepataje nambazao, mimi nikaji nikisema nina buni namba yeyote bila ya kujua ni ya nani nia na ma dhumuni ujumbe wangu huifikie jamii. Nili tumia hekima na busara kwa kila aliye nioji hasilimia kubwa ya watu walionihoji waliniunga mkono huku wakitaka kilasiku niwatumie ujumbe unaowae limisha . ukweli kwamba wali nitia moyo sana . nikatunga ujumbe mwingine tena unaosema “Anaye lipiza baya kwa ema nishetani hafai kanisani wala hafai msikitini  hatoingia peponi ataishia motoni”, kwa maana usilipe ubaya kwa kwa aliye kuleta duniani Je? Kesho utakuwa mgeni wa nani. Nikasamba ujumbe huo kwenda namba mbalimbali. Kuna baadhi ya watu walitaka kuonana na mimi hata hivyo sikujiamini kuonana na mtu yeyote kutokana na aliyangu hivyo watu wengi walitaka ushauri kutoka kwangu kwasababu wali hisi ni mtu mwema . kama kawaida yangu niliendelea kutuma ujumbe kama ifuatavyo “Dunia ni njia amini nawaambia hakuna kitacchobakia soote kwa mola ndipo tunapoelekea fikiri siku ya mwisho palapanda itakapo lia”.

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates