MY NAME IS JEFF {5}

Hata MAMA mwana atamkimbia kila mtu mzigo wake atauchukua siku hiyo mali nyumba hazito kusaidia ila amari njema ulizotenda ndizo zitakazo kuokoa tusiache ibada na tusiache mola kumsujudia ujumbe huu ulipendwa na watu wengi nilipokea simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali watuwengi wali hisi mimi ni mchamungu sana nakumbuka sikumoja ilikua mchana wa saa saba na nusu nikiwa nimeshikwa na kiu nikakuta kioski kimoja kinauza vinywaji nilipaki mkokoteni wangu nakwenda kupata kinywaji kulikuwa kuna watu wengi wakipata vinywaji sikuweza kukaa kwenye kiti chochote kutokana na hali yangu niliagiza kinywaji huku nime simama kuna mwanamke mmoja alikua ameketi kwenye kiti na kinywaji chake kikiwa mezani kwa taratibu akiburudika ghafla akapigiwa simu akapokea na kuongea akanyanyuka nakuondoka kablaya kuondoka akalipia kinywaji kisha akatoka nje ya kioski nakuingia ndani ya gari yake nakuondoka zake kwakua mimi nili simama kwa muda mrefu nikaenda kuketi palepale alipo keti yule mdada nikakaa huku nikinywa kinywaji nilicho agiza mara nikaona pochi ya kike nika shtuka nilipomaliza kunywa kinywaji nika waza na kukumbuka kuwa pochi hii amesahau yule dada aliye pigiwa simu nikaji uliza nikitangaza hapa kuwa pochi hii ni ya nani watu wata jitokeza wengi nikaona bora niifazi hipo siku labda nitaonana naye mwenyewe na mimi nilipo malizanikalipia kinywaji nakuendelea na kaziyangu ilipo fika jioni nilipo maliza kazi zangu nikatazama ndani ya pochi kulikua kama kuna dola mia nane pamoja na pesa taslimu zakitanzania shilingi 55000 na kadi ya benki  nakitambulisho cha mwanamke yule.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates