
"Serikali
ya China inajenga uwanja wa michezo jijini Lilongwe. Hio picha
inaonesha msimamizi wa kichina akimfukuza kibarua baada ya kumcharaza
viboko akiwa amekamatwa ameiba cables! Chezea wachina wewe. Kama
uheshimu mali isiyokuwa yako unachapwa tu! Acheni kuleta siasa. Ukikamatwa unachapwa tu!" - Pat Tsere
Post a Comment