MB DOCTA ATANGAZA RASMI KUACHA KAZI SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR( ZBC)

Mtangazaji mwenye swag za peke hapa town MB DOCTOR ametangaza rsmi kuacha kazi Shirika la
utangazaji  ZBC kwa kile alicha kiita kua ni kuto kuelewa na baadhi viongoz wa radio aliyokua akifanya kaz Spice fm Shukran nitangulize kwa M/MUNGU Familia yangu na wafanyakazi woje wa ZBC RADIO 90.5 & 97.4 Kwa kpnd chote tulikuwa tukifanya kazi kama Watangazaji LEO RASMIN NATANGAZA KUACHA KAZI ZBC RADIO  & SPICE FM na Nitakuwa Mkinickia sehemu 1 tu 87.7 Bomba F.m yoyote ataesikia jina la MB DOCTOR liki2mika ZBC SI MIIMI. kuna sababu nyingi zilizo nifanya niondoke simto faham kwenye swala la mshahara pia nimefanya kaz kwa miaka 6 pale bila kua na mkataba sasa hii inakuaje? yani unafanya kazi kwenye shirika la serikali kwa miaka sita bila mkataba sijui future yangu mbele itakuaje nimeona bora naianglie sehem nyingine kuliko kuendelea kua pale ial natoa asante  kwa mashabiki kunipa ushirikiano ktk miaka 6 ya ufanyaji kazi ZBC RADIO. naomba tuendele kua pamoja pia kupitia 87.7 BOMBA FM RADIO

sikiliza swali la Mb docta kwa uongozi wa ZBC hapa

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates