PICHA - NATAMANI KUJA HUKO ULIKO ILA FURSA, MAJUKUMU NA WAKATI VIMEBANA


NATAMANI KUJA HUKO ULIKO ILA FURSA, MAJUKUMU NA WAKATI VIMEBANA, ila afya na uzima vikiwepo nitakuja tujadiliane.
KWA LEO SWALI LANGU NI KWA NINI MOYO UNAPAPARA SANA ? HAURIDHIKI


ukiwa na baiskeli ukiiona nyingine ya kwako huitaki, gari, kochi, hata kapeti likiwa rangi tofauti unatamani la mwenzio.
WENGINE WAMEWAGHAIRI HADI WAUME/WAKE ZAO AU WACHUMBA BAADA YA KUONA WENGINE.
NINI DAWA YA PAPARA YA MOYO ?

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates