SOMO LA LEO - WANAWAKE, HEBU JIFUNZENI KUPITIA HII HAPAMWANAMKE MWEREVU NA MWENYE MAPENZI KAMA HAYA KAMWE HAWEZI KUSALITIWA.

1.Unaamka yeye kashaamka na kusema
"baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)


2.Unajiandaa kwenda kazini khaa,nguo
zishapigwa pasi(jamani hiyo kazi kafanya
saa ngapi?unajikutaunaenda kazini upo
kwenye daladala kimoyo moyo
unamwambia "I love u honey"

3.Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi
acha tu hujui hata anazifua saa ngapi
maana huwa hujui anazifua saa ngapi?

4.Umejipunzishakwenye kochi au
Au kitandani mara kakukalia
Mgongoni anakufanyia mesaj Mgongoni,khaa alijuaje unataka
Ufanyiwe masaj? unaishia kusema
Thanks baby.

5.Kila anachotaka kufanya kujiendeleza
anakuambia na unaweza kumpa mtaji
mana ni mkweli(ni baraka kwenye familia)

6.Anapenda ndugu zako(siyo mama mkwe
akija anasimamisha pua juu kama
kitimoto)

7.Anakupa moyo kwenye wakati
mgumu,mf,umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha tu,usijali
utafanikiwa kama vipi tusimamie ule
mradi wangu mpaka uajiriwe)

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates