POLE KWA NDUGU JAMAA, MARAFIKI NA UONGOZI MZIMA WA CHUCHU FM RADIO ZANZIBAR KWA KUONDOKEWA NA MFANYAKAZI MWENZAO KHALIFA MMANGA PANDU A.K.A RAS MIDUDE


Kwa niaba ya  CHIWILEINC ENTERTAINMET C.E.O issa chiwile jr tunapenda kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Khalifa Mmanga pamoja na Mashabiki na uongozi wote wa 90.9 Chuchu FM kwa
kumpoteza kaka yetu. mpendwa Khalifa Mmanga pandu Ras Midude alie fariki leo Tarehe 14 -5- 2014 katika hospatal  y Al-rahma saa 8 mchana nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Khalifa Mmanga ambae kwangu aliacha kua Rafiki baadae kua kama kaka mlezi wa Chiwileinc nashindwa nimuelezee vipi Khalifa kwa jinsi alivyo simama kuhakikisha Chiwileinc inafikia Pazuri inasikitisha sana ila mbele yeye nyuma sisi tunafata tulimpenda ila mungu amempenda zaidi  Allha ampe kauli thabiti na mwanga ndani ya kaburi lake Inshallah IMETOLEWA NA -
C.E.O - Issa chiwile jr

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates