NAKALA - USIYOYAJUA KUHUSU TONGWE RECORDS!!

5HINTS
USIYOYAJUA KUHUSU TONGWE RECORDS!!
1. TONGWE STUDIO IPO MASAKI DARESALAAM (Ukishuka kilima nyege mbele kunja kulia kama unaenda coco beach...kisha ukipita tuta la 1 na la 2 unaingia kushoto utakutana na geti jeusi ndio hapo hapo)na sio kigamboni wala tanga kama watu wanavyodhani!!
2.CEO wa tongwe records ni J.murder @j_murder_tongwe na producer wa tongwe ni J.rider @jrydertr !! So j.murder na j.rider ni watu wawili tofauti!! Na kwa miaka miwili sasa since 2012 huyu producer j.rider hayupo nchini hapa yupo finland!!

3.Tongwe ina watu watatu muhimu sana kuliko wote....nao ni maproducer n sound engineers!! Nao ni yuddy @yuddy_tongwe ambae amefanya mixin ngoma nyingi sana za bongo flava nchini!! HITS!! Huyu ndiye muhimili wa tongwe na hakuna tongwe bila huyu na mwingine ni geof master @geofmastery ambae ndiye producer aliyopo badala ya j.rider!! Huyu ameshafanya hits kama NO BEEF na 120 za marehemu MANGWAIR!! R.I.P son!!
NA mwingine ni producer anaitwa ‪#‎QUCHI‬#
4.Tongwe ina wasanii wengi walioko chini ya himaya ile...kama CYRILL @kamikaze_cyrill ‪#‎saigon‬#domokaya#maulo#normanBSS#nicolazzo#Roma#jos#mtambo#central#zone#joslin#kgson#
5.Ile sauti ya vruuuum tongwe records beib...ameisema msani ‪#‎joslin‬#hit maker wa ‪#‎niitebasi‬#perfume#
Kurekodi tongwe tunawakaribisha woote wenye vipaji vya ku-rap na kuimba!!!

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates