NEWS - SHARO KUTOKA NA KALI NYINGINE MWISHO WA MWAKA HUU

 Baada ya kimya cha muda mlefu mkali toka zanzibar Sharo ambea alifanya poa kupitia ngoma ya WTC akiwa ana mr waiz amesema soon atarudi tena ikiwa ni ujio wake mpya chini ya producer yule yule mass wa caribian Sharo amesema kua tayari ngoma imesha kamilika anachosuburi ni kuweka mambo sawa kabla hajiachia rasmi kwa fans wake
"Nyimbo tayari ila naweka sawa mambo yangu ya kifamilia nikitulia mtaichia sitaki kufanya mambo kwa kubahatisha" alimaliza Sharo

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates