NEW S - ABRAMY AZUNGUMZIA KUCHELEWA KWA VIDEO YA MAMA TUNU

ABramy da voice anae bang na ngoma Kali ya 'Hawalali' amefungua kua kuchelewa kwa video ya ngoma yake ya mama tunu ni kutokana na matatizo ya kifamilia yaliyo tokea wakati ngoma inatako ivyo kupelekea kusitishwa kwa video hiyo 'unajua wakati nafanya maandalizi ya video kuna mambo yalitokea ya kifamilia siwezi kuyasema hapa nikaona niache tu kufanya video ya mama tunu sasaivi kila kitu kipo sawa video ipo tayari mashabiki wangu wakae tayari soon! video itakua kwenye tv station zote tanzania na social network pia'  alimaliza Abramy  #all the best brother tunasubiri video ya mama tunu

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates