NEWS - Mesen Selecta asakwa na Polisi

Akizungumza na eNewz Masopu sopu alisema kuwa alifanya ngoma na Mesen lakini mwisho wa siku Mtayarishaji huyo alikuwa kama anataka kumuingiza mjini baada ya kumuomba pesa kwa mara ya pili.

“Nilivyomfata Mesen kwa ajili ya production na kolabo ya ngoma yangu aliniambia kuwa nimpatie laki nne, mbili kwa ajili ya kolabo na mbili kwa ajili ya production lakini kazi ilipokamilika hakunipatia kazi kamili alinipa demo tu, alisema Masopu sopu na kuongeza, "Na nilivyomfata kwa ajili ya kunipa kazi kamili aliniambia nimuongeze pesa kiasi cha laki tatu ili anipatie na ndio kisa kilichonifanya mimi kuripoti polisi kwa sababu naona kama ananifanyia ujanja ujanja”

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates