leo msanii wa kizazi kipya kwenye bongo hip hop ROMA
amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro. Roma anasema alikuwa yupo
kwenye mwendo wakawaida ndio tairi la mbele lilipopata pancha na ndipo
gari likaacha njia yake na kwenda kugongana uso kwa uso na fuso ambalo
lilikuwa upande wa pili na gari hilo dogo alilokuwa akiendesha Roma
kurudi lilipotokea.
Roma akimwelezea police wa usalama barabarani kilichotokea mpaka kupata ajali hiyo mbaya.
Huyu ni mmoja kati ya marafiki wa Roma aliyekuwa nae kwenye gari wakielekea Morogoro kwenye show
Post a Comment